Dhahabu haijawekwa kama hazina - Serikali Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji Serikali imesema kuwa Benki kuu ya Tanzania (BOT), haijaweka madini ya dhahabu kama hazina ya rasimali za kigeni kutokana na bei ya madini hayo kutokua tulivu katika soko la dunia. Read more about Dhahabu haijawekwa kama hazina - Serikali