San Marino wamtaka Mueller awaombe radhi

Maafisa wa San Marino wametaka kuombwa radhi na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ujerumani, Thomas Muller, aliyeongea maneno ya dharau kufuatia ushindi wa mabao 8-0, Ijumaa iliyopita katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia, mwaka 2018 nchini Urusi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS