Dakika chache kabla ya historia kuandikwa Sehemu maalum kwa ajili ya Red Carpet kwa VVIP Ni matayarisho ya aina yake chini ya vikosi vilivyojipanga kila idara, dakika chache kabla ya tukio la kihistoria la utoaji tuzo za EATV katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Read more about Dakika chache kabla ya historia kuandikwa