Hatma ya Southgate kuinoa England, kizungumkuti

Gareth Southgate

Kocha Gareth Southgate amesema bado hajaanza mazungumzo na Chama Cha Soka nchini Uingereza FA, juu ya kupewa mkataba wa moja kwa moja, kikiwa hii leo, anatarajiwa kumaliza mkataba wake wa mechi nne, kama kocha wa muda wa timu ya Taifa ya Uingereza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS