NACTE yavifungia vyuo 26 vya ufundi

Dkt. Adolf Rutayuga(katikati) akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limechukuwa hatua za kinidhamu dhidi ya vyuo 48 kutokana na kukiuka kanuni, sheria na taratibu za utoaji wa elimu ya ufundi huku likifuta kabisa usajili wa vyuo 26 kati ya hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS