TFF yaanzisha safari ya Tanzania Olimpiki ya Japan
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na idara ya michezo ya Wazara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) limeanzisha kampeni maalum ya kuelekea katika michuano ya Olimpiki mwaka 2020, Japan