Christina Shusho akataa 'collabo' na mastaa
Mwanamuziki wa Injili, Christina Shusho amesema hawezi kufanya kolabo na wanamuziki wakubwa wa muziki huo kwa sababu hakuna anachohitaji kutoka kwao na wala yeye hana kitu anachoweza kuwasaidia kwa kuwa wana kila kitu