Waliofukiwa na kifusi mgodini Geita, waokolewa

Wakipatiwa huduma ya kwanza mara baada ya kuokolewa

Wachimbaji 15 wa madini waliofukiwa na kifusi siku tatu zilizopita kwenye mgodi unaomilikiwa na kampuni ya RZ huko Nyarugusu, mkoani Geita, hatimaye wameokolewa wakiwa hai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS