Kolabo yangu na Davido iko palepale - Joh Makini Rapa Joh Makini ameufungua mwaka 2017 kwa kutoa ngoma matata inayokwenda kwa jina la 'Waya' lakini maswali mengi ni kwamba vipi ile collabo yake aliyoifanya na msanii Davido kutoka Nigeria? Read more about Kolabo yangu na Davido iko palepale - Joh Makini