AJALI YA TRENI

Treni iliyokuwa ikitoka Kigoma kwenda Dar es Salaam imepata ajali Mlandizi mkoani Pwani ikitokea kituo cha Ruvu ambapo mabehewa zaidi ya 7 yameanguka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS