Chirwa aifikisha Yanga kileleni
Mshambuliaji ghali zaidi wa klabu ya Yanga raia wa Zimbabwe, Obrey Chirwa leo ameifungia timu yake mabao mawili muhimu na kuipa kuipa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo uliopigwa dimba la Taifa Dar es Salaam