Mshiriki Miss Tanzania akiri kudanganya umri Nelly Kamwelu Aliyekuwa mshiriki wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania mwaka 2008, Nelly Kamwelu, amekiri kudanganya umri katika mashindano hayo wakati huo ili apate fursa ya kushiriki mashindano hayo. Read more about Mshiriki Miss Tanzania akiri kudanganya umri