Mbarawa afanya mabadiliko Uwanja wa Ndege
Ikiwa imepita siku moja baada ya Rais John Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, leo serikali imetangaza kufanya mabadiliko.