Waziri Mkuu wa Ethiopia amfuata Magufuli Tanzania
Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kesho Machi 31 na kufanya ziara ya kitaifa ya siku mbili ikiwa ni mwaliko wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.
