Watumishi TRA mbaroni kwa dawa za kulevya
Oparesheni za kuwakamata watuhumiwa wanaojihusisha na dawa za kulevya nchini imefanikiwa kukamata watuhumiwa wawili waliohusika kupitisha kemikali bashirifu za dawa hizo aina ya ephedrine huku wengine wawili wakiwa bado wanasakwa na polisi