Nahitaji Nay wa Mitego awe baunsa wangu - Basaga

Rapa anayechipukia kwenye muziki wa Hip hop 'Basaga' ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Badilisha pozi' amefunguka na kusema kuwa toka anaanza kufanya muziki watu wamekuwa wakimfananisha kimuziki na Nay wa Mitego.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS