Prof. Jay awachana wasanii hawa
Rapa mkongwe nchini Prof. Jay ambaye mwaka jana alitoa ngoma ya 'hip hop singeli' iliyokwenda kwa jina la 'Kazi Kazi' ameibuka na kusema wivu wa baadhi ya wasanii wa hip hop Bongo hauwezi kusaidia muziki wa hip hop kufika mbali.