Jina analotumia Baraka ni langu - Dully Sykes Mwanamuziki mkongwe Prince Dully Sykesy ameweka wazi yeye ndiye aliyempatia jina la kisanii Baraka The Prince miaka kadhaa iliyopita kabla hata msanii huyo hajatoa wimbo hata mmoja. Read more about Jina analotumia Baraka ni langu - Dully Sykes