Nape atoa neno vita dhidi ya dawa za kulevya

Waziri Nape Nnauye

Saa chache baada ya Rais Magufuli kutangaza uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya hii leo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ameibuka na kutoa neno la pongezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS