Nitaendelea kufundisha soka - Arsene Wenger Arsene Wenger - Kocha wa Arsenal Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa ataendelea kufundisha soka kwa msimu ujao, kwenye klabu hiyo hiyo, au mahala pengine. Read more about Nitaendelea kufundisha soka - Arsene Wenger