TFF yabadili gia angani kukwepa upangaji matokeo
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limebadili gia angani mara baada ya kuwabadili waamuzi wa michezo ya ligi daraja la kwanza ili kuepusha upangaji matokeo wakati huu ligi hiyo ikielekea ukingoni.