Rais Magufuli afungua uwanja wa ndege-vita
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo amezindua uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere uliopo Mkoani Morogoro, uliofanyiwa ukarabati mkubwa baada ya miundombinu ya uwanja uliojengwa tangu mwaka 1970 kuharibika.