Tanzania yaisaidia Kenya madaktari 500. Rais John Magufuli akubali ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 kusaidia utoaji tiba baada ya kutokea kwa mgomo wa madaktari nchini humo Ikulu yathibitisha. Read more about Tanzania yaisaidia Kenya madaktari 500.