Jumuiya ya Kiisilamu yataka 'mateja' washtakiwe
Jumuiya na Taasisi za Kiislam imepongeza vita dhidi ya dawa za kulevya na kupendekeza kuwa kamata kamata ya wahusika wa dawa za kulevya inayoendelea hivi sasa ihusishe pia wapiga debe wanaoonekana katika vituo vya daladala wakiwa wameathirika