Jokate, Jay Z na Beyonce Jokate amekutana na Jay Z pamoja na Beyonce kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New Orleans, Louisiana kwenye uwanja wa Smoothie King Center nchini Marekani. Read more about Jokate, Jay Z na Beyonce