Kila la kheri...
Waziri mwenye dhamana na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe aikabidhi bendera Serengeti Boys kuelekea katika michuano ya AFCON kwa vijana nchini Gabon. Timu hiyo iliyotoka sare ya 2-2 dhidi ya Ghana, itapitia nchini Morocco kwa ajili ya kambi
