Simba na mawindo ya Mbao FC Mwanza
Baada ya kupoteza pambano lao dhidi ya Kagera Sugar kwa kukubali kufungwa kwa jumla ya mabao 2-1,kikosi cha Simba kimeshawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wao wa ligi kuu ya Tanzania bara dhidi ya Mbao FC utakaopigwa Aprili 10.
