Raia 14 wa India wapandishwa kizimbani
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana raia14 wa kigeni wenye asili ya Asia baada ya kusomewa mashtaka 3 mahakamani hapo ya kufanya kazi kinyume cha sheria katika kampuni ya Quality Group Company iliyopo hapa nchini Tanzania.