Simba bado ina nafasi ya ubingwa - Mkude

Jonas Mkude

Nahodha wa klabu ya Simba inayosaka ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara msimu huu Jonas Mkude, amewatoa hofu mashabiki wa timu na kuwaeleza kuwa bado nafasi ya ubingwa ipo upande wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS