Man Fongo adaiwa kumkimbia Khalid Starboy

Man Fongo (kushoto) na Starboy

Msanii wa 'Singeli' Khalid Starboy ambaye sasa yupo chini ya usimamizi wa G Maker amefunguka na kusema 'hit maker' wa ngoma ya Hainaga Ushemeji Man Fongo ni kama amemkimbia baada ya yeye kujiunga chini ya usimamizi wa G Maker.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS