VIDEO: Hatimaye Lema aachiwa kwa dhamana Godbless Lema Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema baada ya kusota gerezani kwa zaidi ya miezi minne. Read more about VIDEO: Hatimaye Lema aachiwa kwa dhamana