Kigogo ALAT atumbuliwa kwa 'kupiga' mil 90

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini ALAT Bwana Gulam Mukadam amemsimamisha kazi Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Bw Abraham Shemoboyo kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa shilingi milioni 150 za ufadhili wa jumuiya hiyo mwaka 2015.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS