Hanscana ni mkali kuliko Adam Juma - Rama Dee
Msanii wa bongo fleva Rama Dee amefunguka na kusema kuwa mtayarishajii wa video Hanscana kwa sasa yuko vizuri kuliko mkongwe kwa kazi hizo nchini Adam Juma na kwamba Adam Juma ana uwezo kuwa bora zaidi endapo atajifunza zaidi.