Mbowe akwaa kisiki mahakamani
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ya kutaka asikamatwe na polisi mpaka pale kesi yake ya kikatiba dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda itakapomalizika