Tani 400 za 'viroba zashikiliwa Dar
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira inashikilia jumla ya tani 400 za pombe zinazofungashwa kwenye mifuko ya plastiki maarufu kama Viroba zilizopatikana katika msako wa siku 3 pekee ndani ya Jiji la Dar es Salaam.