Hatma ya Wenger Arsenal kujulikana mwezi ujao Wapenzi na mashabiki wa Arsenal, mwezi ujao watafahamu kama wataendelea kuwa na kocha wao Arsene Wenger katika msimu ujao, au msimu huu ndiyo wa mwisho kwake klabuni hapo. Read more about Hatma ya Wenger Arsenal kujulikana mwezi ujao