Tundu Lissu mbaroni Tundu Lissu Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amekamatwa na polisi katika mahakama ya Kisutu wakati akitoka kuhudhuria kesi yake ya uchochezi. Read more about Tundu Lissu mbaroni