Hali ya Mwanjali bado tete Msimbazi

Method Mwanjali, siku aliyopata majeraha

Beki wa katikati tegemeo wa Simba, Mzimbabwe Method Mwanjali ataendelea kuwa nje ya dimba kwa mwezi mzima wa Machi kutokana na maumivu ya goti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS