NAMTHAMINI
Mbunge wa Hanang mkoani Manyara, Dkt. Mary Nagu katika studio za EATV akikabidhi pedi zenye thamani ya shilingi 300,000 kwa ajili ya wanafunzi wa kike kupitia kampeni ya 'Namthamini' inayoendeshwa na EATV LTD kwa kushirikiana na HAWA Foundation