Harmorapa afunguka kuhusu mjengo wake mpya Harmorapa Msanii Harmorapa ambaye haishi kwa kiki mjini ameibuka na jambo jipya kwa kusema amenunuliwa nyumba kali ya kuishi maeneo ya mikocheni Jijini Dar es Salaam na uongozi wake unaomsimamia kazi zake. Read more about Harmorapa afunguka kuhusu mjengo wake mpya