Maajabu ya Barcelona Kiungo wa Barcelona Sergi Roberto akifunga bao la 6 dakika ya 90+4 katika mchezo wa Mabingwa Ulaya uliopigwa usiku wa kuamkia leo dhidi ya PSG na kumalizika kwa 6-1, Bao hilo limeifanya Barca kufuzu robo fainali kwa mabao 6-5. Read more about Maajabu ya Barcelona