Panga lapita CCM Halmashauri Kuu ya CCM imewafukuza uanachama Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa DSM Ramadhan Madabida, Mwenyekiti wa UWT Sofia Simba na viongozi wengine kwa makosa ya kukiuka maadili ya chama Read more about Panga lapita CCM