Rama Dee alia na serikali kuhusu Vanessa Mdee
Msanii wa Bongo Fleva Rama Dee ameeleza kuumizwa na kilichomkuta msanii Vanessa Mdee na amemuomba Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kushughulikia suala la wasanii waliotajwa kuhusika na dawa za kulevya