Yanga ikipambana na Zanaco katika dimba la Taifa DSM
Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC imejipa mtihani mgumu katika mchezo wa marudiano wa michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya leo kulazimishwa sare na Zanaco kutoka Zambia katika dimba la Taifa Dar es Salaam.