Nay ajisafisha ishu ya Roma Mkatoliki
Mwanamuziki anayesumbua kwa sasa na wimbo wa 'Wapo' Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego amejitetea kwenye eNewz ya EATV kuwa watu wasihusishe vitu anavyoweka kwenye mitandao ya kijamii na tukio la utekwaji wa msanii Roma Mkatoliki.

