Shida yangu siyo viwanda - Mwijage Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Charles Mwijage amedai kwamba yeye hana shida na uwepo wa viwanda vingi bali anachohitaji ni kuwepo na viwanda endelevu ambavyo vitatoa ajira ya kutosha jwa watanzania. Read more about Shida yangu siyo viwanda - Mwijage