Kenya yaiandikia barua Tanzania Serikali ya Kenya imeitumia barua serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikitaka ufafanuzi kuhusu suala la vifaranga vilivyoteketezwa hivi karibuni ambavyo vinadaiwa kuingizwa nchini kutokea Kenya. Read more about Kenya yaiandikia barua Tanzania