Kaburi lafukuliwa kwa utata Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na madaktari wa hospital ya rufaa ya KCMC limesema linaendelea na uchunguzi wa mwili uliofukuliwa kwenye makaburi ya Karanga mji mdogo wa Himo mjini Moshi. Read more about Kaburi lafukuliwa kwa utata