Azam FC yakomaa na Simba Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kuwakaba koo vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba kwenye msimamo baada ya kuibuka na ushindi ugenini dhidi ya Njombe Mji. Read more about Azam FC yakomaa na Simba