Sumaye atuma maombi serikalini
Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye amefunguka na kuiomba serikali pamoja na vyombo vyake iwe inachukua hatua za haraka pindi yanapotokea matukio ya kiharifu yanayosababisha kupoteza uhai wa mtu.

